Sanjara Honey Member Joined Jul 1, 2009 Posts 71 Reaction score 32 Dec 22, 2014 #1 Wajasiriamali, Nahitaji kilo 1000 za rosella kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya kuongeza thamani. Kama kuna mtu anazo au anajua mkulima kwenye nazo naomba msaada wa kuunganuishwa naye. Asante
Wajasiriamali, Nahitaji kilo 1000 za rosella kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya kuongeza thamani. Kama kuna mtu anazo au anajua mkulima kwenye nazo naomba msaada wa kuunganuishwa naye. Asante
DAKA MTUMBA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,288 Reaction score 805 Dec 22, 2014 #2 Sizijui. Labda taja kwa jina la kienyeji.
Mpangamji JF-Expert Member Joined May 12, 2010 Posts 540 Reaction score 141 Dec 22, 2014 #3 Inaitwa Choya
Sanjara Honey Member Joined Jul 1, 2009 Posts 71 Reaction score 32 Dec 22, 2014 Thread starter #4 DAKA MTUMBA said: Sizijui. Labda taja kwa jina la kienyeji. Click to expand... Matunda yake ndo haya:
DAKA MTUMBA said: Sizijui. Labda taja kwa jina la kienyeji. Click to expand... Matunda yake ndo haya:
HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,926 Reaction score 6,671 Dec 22, 2014 #5 Hibiscass nadhani kama sijakosea kuandika. Izi zinapatikana kwa wingi dodoma
Babu Kijiwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 4,845 Reaction score 4,776 Dec 24, 2014 #6 Ipo nyingi sana. Nipigie 0712 592 186
C comfort isowe Member Joined Apr 4, 2015 Posts 23 Reaction score 2 Apr 27, 2015 #7 0718616938,nitafte ipo nyng.
P puruwanji Member Joined Sep 22, 2018 Posts 81 Reaction score 28 Jan 14, 2019 #8 Habari wakuu naomba msaada nahitaji karkade.. rosella kwa bei ya jumla naomba msaada kwa anaejua wapi nitapata na bei zake..... Hazihitaji kwa wingi
Habari wakuu naomba msaada nahitaji karkade.. rosella kwa bei ya jumla naomba msaada kwa anaejua wapi nitapata na bei zake..... Hazihitaji kwa wingi
A AgroVision New Member Joined Aug 26, 2018 Posts 3 Reaction score 1 Jun 16, 2020 #9 puruwanji said: Habari wakuu naomba msaada nahitaji karkade.. rosella kwa bei ya jumla naomba msaada kwa anaejua wapi nitapata na bei zake..... Hazihitaji kwa wingi Click to expand... Wasiliana nami 0784325436/0764601903
puruwanji said: Habari wakuu naomba msaada nahitaji karkade.. rosella kwa bei ya jumla naomba msaada kwa anaejua wapi nitapata na bei zake..... Hazihitaji kwa wingi Click to expand... Wasiliana nami 0784325436/0764601903