Natafuta Roommate

ila hiki kizazi kinamawazo finyu sana. Nilikuaga najiuliza kwanini matajiri wengi ni wazee. Nimepata sababu
Na sisi wengine ndio wazee masikini wenye akili finyu tuliopo JF.
🤣...Tafuta chumba cha peke yako
 
Room kali na kutokua na hela hacienda pamoja. Nadhani tumia hiyo hiyo hela iliy onayı Upanga ghetto la kawaida
 
Gen Z ni rahis kutake risky big up for them, nawafurahia maana wanaishi hawa exist
 
Dunia inaenda kasi sana, miaka hii watoto wa kiume kupanga chumba kimoja linaonekana jambo la ajabu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…