Ushauri mkubwa kabisa, jitahidi uishi mwenyewe, kama lemgo lako ni chumba cha 100k kwa sifa fulani na eneo fulani nawe uwezo wako kibajeti 50k ndio maana unahitaji mtu wa kuchanga.
Hapo chagua 1, aidha uchukue cha kodi ya 50k eneo hilo hilo, ama uende eneo jingine upate kwa sifa zile zile lakini bei iwe imepoa kwa bajeti yako.
Thamani ya vyumba ina tofautiana kwa eneo na eneo.