Natafuta room ya kupanga tazara au maeneo ya jiran na tazara

Natafuta room tazara dar iwe katika hali nzur na iwe ndan ya get,gharama isizid 70000
Mkuu kutakuwa na room 2 na choo ndani, ni upande unaojitegemea ukiwa na fence na gate. Itakuwa wazi kuanzia mwezi wa 4. IPO nyuma ya kiwanda cha sadolin. Bei ni 80,000 kwa mwezi
 
Asante,we ni dalali ama muhisika???
 
Mkuu kutakuwa na room 2 na choo ndani, ni upande unaojitegemea ukiwa na fence na gate. Itakuwa wazi kuanzia mwezi wa 4. IPO nyuma ya kiwanda cha sadolin. Bei ni 80,000 kwa mwezi
Nitumie namba mp bas ili tuongee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom