Mh! Utakuwa zombie wewe!
Kuweka namba ya simu humu ni upumbavu kwa masuala ya kijinga ukizingatia avatar na jina ni fake
Sent from my BlackBerry 9300. using JamiiForums
Baadae awe more than rafiki.......mmmh!
Si atafute tu more than rafiki kuanzia sasa hivi? Mkuu mayuni kwa hiyo huyo rafiki unayemtafuta anakua anajua kabisa kwamba lengo lako ni kuja kua more than rafiki, sasa ingekua bora ukatafuta more than rafiki ili mtu akajua kabisa anaingia kwenye urafiki wa aina gani.
sasa wewee unataka badae aje kuwa adui yangu au....????