Natafuta Rafiki wa kiume

hautaki mwanaume wa kutoka mkoa wa mara..? sidhani kama unatafuta mme mwema we utakua unatafuta mwanaume wa kukupikia
 
hautaki mwanaume wa kutoka mkoa wa mara..? sidhani kama unatafuta mme mwema we utakua unatafuta mwanaume wa kukupikia
hayo maneno yako wewe me ni maamuzi yangu
 
Niko tayar kukupa mapenz ya kwel na uaminif mkuu.kama utakuwa upo criaZ.naomb unpm.a
 

niko hapa lakini mimi huwa situmiagi email labda uni pm haraka
 
Naogopa utanichezea. Yaani unitumiee then ukitosheka unipige kibuti?
kwanini usiseme unataka mchumba direct unazungukazunguka ukikuta wameisha kuoa utamlaumu nani mkuu.
 
sijazunguka bali nimetaja sifa nazo zitaka ningesema nataka mchumba tu hayo maswali yangekuja
 
Nashukuru kwa cv nyingi sana acha nizifanyie kazi then nitarudisha majibu kama nimefanikiwa au sijafanikiwa🙂🙂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…