Natafuta rafiki wa kiume

Status
Not open for further replies.
Subiri watoto wa miaka 35 kushuka waje na makasiriko Yao


Tena wakuache kabisaa
Wasikupangie
Life is all about making choice
 
Hiv huwa mnakosaje wa kuwaoa!?
Mnakuaga na shida bila shaka
 
Kama anayekuzidi miaka 8 ni mtoto, utakuwa umekubuhu kwelikweli kwenye hii sekta.
Hapa zijakubuhu,ila huwa napenda kuwa na marafiki au mpenzi alie nizidi miaka mingi huwa nakuwa na amani
 
Unatafuta RAFIKI au MWENZA/MUME/MPENZI mbona unazunguka sANA/ hit the point
 
mbona povu mkuu sifa gani huna hapo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Nimeandika hapo juu nataka mume?,sinimesema rafiki?
Ahhh ndio huko huko tu unaelekea ..anyway...sasa mnakosaje hata marafiki??
Mfanya biashara wa namna gani wewe unatafuta marafiki kwenye social networks ..unafanyaje sasa hizo biashara!?
Au hazihusishi interaction na watu?
 
Haha umemgusa mtima ๐Ÿ˜ƒ
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ