Natafuta rafiki wa kiume

Habari zenu ,, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye,,najihisi mpweke ,ila sitaki kurudiana naye.
Tafuta mume akuweke ndani muanze maisha utasahau maumivu ya mapenzi
 
Wewe dada mzee acha hizo!Ukiachwa/ukiumizwa unapaswa upumzike kwanza na siyo kurukia tena mahusiano.Wazungu huwa wanasema have a break from relationship.
Mmh infact kila mtu ana namna yake ya kupoza machungu, hii mambo ya sheria za kizungu achana nayo.
Nilitegemea uulize lile swali lako pendwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom