Anataka kaka wa hiari.
Jaman hata mimi nilipokuwa sijawa na wife, kuna kipindi nilikuwa namiss kuongea na mwanamke. Hapo ntaanza kupiga simu mpaka nimpate wa kuongea nae hata saa zima.
Sometime naset appointment na dem tunapiga story tuu. Yaan ni muhimu sana kubadilisha sauti tunazosikia si lazima mapenzi