Salaam wakuu. Natafuta rafiki wa kike umri kuanzia miaka 26 na kuendelea. Ntafurai kama ntampata mwaminifu. Popote ulipo unakaribishwa PM.
muwe munaweka wazi, unakuta mm nakuja kama rafiki ww unaanza tongozo
30 naushee
Hahahahaa mkuu. Mbona umri unaeleweka tuu? Yaani 30 na nyongeza
Sijawahi kuusikia umri huu nafikiri utakua umezinduliwa juzi juzi, 30 naushee!
Hahahahaa mkuu. Mbona umri unaeleweka tuu? Yaani 30 na nyongeza