Hili jambo π lina ukweli mwingi
Fake p amefichwa wapi tajiri alafu umeacha kutuma vocha humuMcheki Hope urassa hana ntu Cc Fake P
Nataka kumpeleka Dubai π vocha nitawafanyia sapraizi siku Moja naziweka mgombanie goli πFake p amefichwa wapi tajiri alafu umeacha kutuma vocha humu
Sema tugombanie sio mgombanie , tajiri bhanaπ DubaiiNataka kumpeleka Dubai π vocha nitawafanyia sapraizi siku Moja naziweka mgombanie goli π
Boss, kwahy ile kazi niliyokuambia bado tuu, au unataka uniskie kwenye vyombo vya habari kuwa nimefanya uhaini ndo unizingatie πNataka kumpeleka Dubai π vocha nitawafanyia sapraizi siku Moja naziweka mgombanie goli π
Kutofautiana tamaduni na imani naona kama ni changamotoMzee miaka 35 kweli bado unachagua chagua? Muda unaenda kaka, we beba yeyote tu alimradi anapumua.
Miaka 35 kwa mwanaume ndo kumekucha kabisa.Mzee miaka 35 kweli bado unachagua chagua? Muda unaenda kaka, we beba yeyote tu alimradi anapumua.
Nakazia sana hapo nakazia tena na tena na tenaa Hope analala mwenyewe.π₯ΉMcheki Hope urassa hana ntu Cc Fake P
Nani wakunificha tena mankaa.Fake p amefichwa wapi tajiri alafu umeacha kutuma vocha humu
Dubai this this.Nataka kumpeleka Dubai π vocha nitawafanyia sapraizi siku Moja naziweka mgombanie goli π
Tutajie ile ID yako ya kwanza ili tujue tabia yako kiundani.Sifa zangu
1) Spiritual lakini siamini katika dini za watu weupe
2) Culture ya maisha yangu ni Vegan
3) Umri wangu ni 35
4) Ni mweupe, Mtanzania
5) Nimejiajiri
Sifa za ninayemtaka
1) Awe mweusi wa asili
2) Awe mrefu na sio mfupi
3) Akiwa na utamaduni wa Vegan au Vegetarian itapendeza
4) Sihitaji Awe mkumbatia dini, akiwa Spiritual itapendeza
5) Asiwe na mtoto
6) Umri wake usizidi miaka 28
7) Akiwa Arusha itapendeza
Mawasiliano: blacksailers87@gmail.com