Faisal94 Member Joined Mar 7, 2012 Posts 12 Reaction score 0 Mar 9, 2012 #1 Natafuta rafiki wa kike wa kuchat nae na kubadilishana mawazo
TUNTEMEKE Platinum Member Joined Jun 15, 2009 Posts 4,587 Reaction score 580 Mar 9, 2012 #2 hivyo tu! au kuna jingine kama hamna am here!
Neiwa JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 728 Reaction score 634 Mar 9, 2012 #3 Niko tayari. toa vigezo na masharti then nikupe vyangu.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 Mar 9, 2012 #4 wee faisal, umekua siku hizi??
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,412 Reaction score 88,732 Mar 9, 2012 #5 Faisal94 said: Natafuta rafiki wa kike wa kuchat nae na kubadilishana mawazo Click to expand... Feisali soma mwana ndio kwanza una miaka 18,achana na wasichana wewe!! Mwenzako aliyeongoza tz nzima matokeo ya 4m 4 ana miaka 16 tu
Faisal94 said: Natafuta rafiki wa kike wa kuchat nae na kubadilishana mawazo Click to expand... Feisali soma mwana ndio kwanza una miaka 18,achana na wasichana wewe!! Mwenzako aliyeongoza tz nzima matokeo ya 4m 4 ana miaka 16 tu
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,412 Reaction score 88,732 Mar 9, 2012 #6 Kongosho said: wee faisal, umekua siku hizi?? Click to expand... Ana miaka 18
Neiwa JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 728 Reaction score 634 Mar 9, 2012 #7 Kongosho said: wee faisal, umekua siku hizi?? Click to expand... King Kong III said: Feisali soma mwana ndio kwanza una miaka 18,achana na wasichana wewe!! Mwenzako aliyeongoza tz nzima matokeo ya 4m 4 ana miaka 16 tu Click to expand... Fellaz acheni kunibania. hatutafanya lolote tu tachat tu. mwacheni aje.
Kongosho said: wee faisal, umekua siku hizi?? Click to expand... King Kong III said: Feisali soma mwana ndio kwanza una miaka 18,achana na wasichana wewe!! Mwenzako aliyeongoza tz nzima matokeo ya 4m 4 ana miaka 16 tu Click to expand... Fellaz acheni kunibania. hatutafanya lolote tu tachat tu. mwacheni aje.
Asnam JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 4,256 Reaction score 2,949 Mar 9, 2012 #8 nakuja niko njiani