Natafuta rafiki wa kike, nahaidi kwamba nitamrizisha

Natafuta rafiki wa kike, nahaidi kwamba nitamrizisha

makolola

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
765
Reaction score
290
Natafuta mwanamke awe na umri wa miaka 20 mpaka 35. nitampa mapenzi moto moto, sibagui dini wala kabila wala upande wa muungano atokao. wala mkoa. taratibu za kujitambulisha tutazifanya baada ya kukubaliana.

sifa zangu.
awe msikivu
awe mkweli na muwazi
awe tayari kujishugulisha walau akiwezeshwa hata biashara ndogo ndogo.

aliyeko tayari ani pm, au aweke namba yake ya simu nitawasiliana naye.
 
Haya mambo bado yapo ya kutafuta wapenzi wa kugegeda humu ndani??

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom