Master A. Mdachi
Member
- Jul 22, 2014
- 21
- 3
Habari zenu ndugu marafiki, mimi ni jamaa ambaye nimekosa rafiki wa kike kwa kipindi kirefu sasa, kutokana na wengi wao kuniogopa.
Kwa hali hiyo nimeona nichukue fursa hii kutafuta rafiki wa kike ambaye ni jasiri wa kutoogopa Rafiki wa kiume kama mimi.
Aliye tayari kuwa rafiki yangu asisite kunitumia ujumbe.
Asante natarajia kupata jibu la kuridhisha kutoka kwa rafiki mrembo yeyote yule mwenye ujasiri.