labda unahisi nini?kubadilisha mawazo na masharti yote hayo?
Unamdanganya nani?
Kwa nini umeweka umli kama kigezo?
Inabidi ufunguke mkuu, kama unataka mchumba/girl friend ijulikane mapema.
mchumba nanaye tena nampenda sana. Nimesema mtu mwenye upeo na interested na politics kwa ajil kubadilishana mawazo tu
i'm interested, niku pm?