Exaud Minja
Senior Member
- Mar 13, 2009
- 100
- 13
Kwani wewe una urefu gani?
kweli niko sirias kabisaa. wadau hii imekaaje? natafuta binti awe anaanzia miaka 23 hadi 26 hivi, mkristu (akiwa Roman itakuwa bomba zaidi) elimu kidato cha nne na kuendelea. Labda wadau mnawafahamu mabinti waliotulia mnipe michongo walipo. Nawasikilizia.
mweee mbona mnanichekesha wajukuu zanguMimi ninaye girl friend wangu, tumeshindwana dini, mimi muislamu yeye RC, nikutumie namba zake?
kweli niko sirias kabisaa. wadau hii imekaaje? natafuta binti awe anaanzia miaka 23 hadi 26 hivi, mkristu (akiwa Roman itakuwa bomba zaidi) elimu kidato cha nne na kuendelea. Labda wadau mnawafahamu mabinti waliotulia mnipe michongo walipo. Nawasikilizia.
Eh Fidel mwaliko nimeupata ila mwenzangu sera zako kwangu ngumu! Maana mh hata sijui nijiteteeje kusema ukweli ile idara ambayo kwako ni muhimu sana mie siiwezi!!........ sina budi
Nakaa hapa Africa kusini
pretoria. Natafuta mchumba wakuoa ambaye anazo sifa zifuatazo:
Natafuta mwana mke wakuoa ambaye alikata tamaa kwa sababu ya kukosa
mchumba.
Awe na umri wa kati ya miaka 27-35
Awe ana moyo wakuishi kwenye upendo
Awe mweusi
Asiwe malaya
Awe na matiti makubwa sana
Awe mwenye sura mbaya
Asiwe mlevi
Asiwe anavuta sigara
Awe na elimu ya secondari
Awe tayari kunitumia picha yake.
Asiwe mtu wakujivuna
Awe mchaa mungu
Asiwe na virusi vya ukimwi na awetayari kucheck afya.
Tafadhali kama unawazo au unajua m-dada mrembo na myenyekevu..nipashe ili niwasiliane naye.
NITAMPA SIFA ZANGU KUPITIA EMAIL

Anaweza kuwa na sura mbaya lakini akawa mrembo!hueleweki kabisaa!! maana sifa ya sita "awe na sura mbaya" halafu mwisho unauliza mrembo! wapi na wapi??
Mkuu, uzuri ni wa kuzaliwa nao kutoka kwa wazazi. Urembo ni wa kujitafutia. Urembo ni nomino inayotokana na kitenzi "kujiremba", yaani kujitengeneza, kujiunda, kujiweka sawa, kujibadili kama utakavyo kwa kutumia vifaa na vyombo mbalimbali kv. madawa, malosheni, mavazi, nk. ili upendeze na kuvutia watu.Tafadhali fafanua, usikikoseshe kiswahili maana lakini!
Mkuu, uzuri ni wa kuzaliwa nao kutoka kwa wazazi. Urembo ni wa kujitafutia. Urembo ni nomino inayotokana na kitenzi "kujiremba", yaani kujitengeneza, kujiunda, kujiweka sawa, kujibadili kama utakavyo kwa kutumia vifaa na vyombo mbalimbali kv. madawa, malosheni, mavazi, nk. ili upendeze na kuvutia watu.
Kumbe hata aliye na sura mbaya anaweza kujiremba kwa kutumia mavifaa na akajiunda na kuvutia watu akawa mrembo. Mrembi si lazima awe mzuri japo warembo wengi kama hatua ya mwanzo wanaanza kujichuja kwa uzuri (sura) na baadaye wanaongezea mambo mengine ya kuwa-qualify kama warembo. Nawasilisha!