- Thread starter
- #21
Usijali niko active 24/7Last seen kweny WhatsApp yako inasema ni September......
Usijali niko active 24/7Last seen kweny WhatsApp yako inasema ni September......
Tuma link nduguTupia no nina groups nyingi za english nikuadd
Tuma kink ndugu, utatusaidia wengi.Tupia no nina groups nyingi za english nikuadd
Ungekuwa jinsia ya kike ungepata sana marafiki. Ila duh, humu wanawake wengi 'married', na men kwa men haziendi. Mwenyewe ningekusaidia, ila sasa mnapigiana midume, story zinaisha. Kama ukikosa wadau nifate PM, nitakusaidia kadri ya uwezo wangu. By the way, mimi nimesoma Cambridge schools toka darasa la 4. So I can help you kiaina.Salaam wakuu
Mimi ni kijana wa kiume nipo moshi. Hivi karibuni nimepata mwaliko wa kwenda moja wapo ya nchi ya Ulaya.
Tatizo langu kiingereza nachozungumza kimejaa makinikia kibao, in short my english is poor.
Hivyo natafuta rafiki anayeweza zungumza english safi kabisa, ili anisaidie ku improve hii lugha.
Usihofu, ela ya vocha na bando ntakua nakutumia ili kufacilitate communication
Jinsia zote mtakaribishwa.
Nenda kwa RAS simba mkuu nasikiaga sana matangazo yake
Ana matawi mengi ,nmeshaona bango zake nyingi mahali tofaut tofautnaskia amefika had magogoni kila siku jion yupo pale kwa tuit ya hediprifekiti
Okay ila usiwaze, nenda hivyo hivyo as muda unavyosogea utajua tuHaaah mkuu, hiyo ni bahati yangu
Tupia link ya hizo group bossTupia no nina groups nyingi za english nikuadd
It's frequently not flently ...take it broSalaam wakuu
Mimi ni kijana wa kiume nipo moshi. Hivi karibuni nimepata mwaliko wa kwenda moja wapo ya nchi ya Ulaya.
Tatizo langu kiingereza nachozungumza kimejaa makinikia kibao, in short my english is poor.
Hivyo natafuta rafiki anayeweza zungumza english safi kabisa, ili anisaidie ku improve hii lugha.
Usihofu, ela ya vocha na bando ntakua nakutumia ili kufacilitate communication
Jinsia zote mtakaribishwa.
I see a lots of nigerian and Indian in the group, we got to remember that these guys are best scammers, Great care should be taken to stay safe
sahihi ni Fluently , frequently ni Mara kwa mara. i stand to be corrected.It's frequently not flently ...take it bro
You may probably?Just pm me I may probably be helpful to you..
Unahamu ya kutembelewa na wasiojulikana?naskia amefika had magogoni kila siku jion yupo pale kwa tuit ya hediprifekiti
Add me to any of those groupsTupia no nina groups nyingi za english nikuadd
Unahamu ya kutembelewa na wasiojulikana?