sijui anataka dume au jike?punda yupi sasa...? milia au kihongwe...?
kwani ajabu kufuga punda milia??Why some people wapo full jocks? Punda milia wap na wapi? Guys tuwe makini some times kama uwezi kumsaidia mtu,pita zako tu sio ustarabu kumwuliza mtu maswali mabovu
Kihongwe preta! milia nitaozea jela!!!
orait.....dah....ila sasa huyu si anahitaji eneo kubwa sana la kumuweka....?....maana sijawahi kuona akifugwa ndani ujue.....
huku Yaeda wapo wengi sana ila sijajua wanauzwa sh ngapi.......
je nikikuulizia bei utakuja kumnunua...?
Milia hutaozea jela.....ukifuata taratibu zote unamliki....akikuchosha......unamrestisha kwenye sufuria......

Preta, mimi nataka kihongwe pia, naweza kumrestisha kwenye sufuria nikimchoka?