Heshima zenu wakuu,
Nipo Arusha mjini najishughilisha na uzambazaji wa vyakula vya mifugo, nimeweka Uzi huu ili tuweze kupeana taarifa za bei na upatikanaji wa Pumba za Mahindi ktk sehemu mbalimbali na Kama unazo tuweze kufanya biashara.
Nicheki katika No 0755710560
Asanteni