2-Alpha Over
Senior Member
- Jun 8, 2021
- 123
- 129
Njoo pm eleza shida toa kazi ifanywe Ila sipo dar na sitegemei kuonana na wewe malipo baada ya kazi na sijawahi kuzulumiwa piaHabari za muda huu wakuu, naomba Kama bango linavyojieleza hapo juu natafuta professional IT aliyeko Dsm tuwasiliane Kuna kazi nimpatie ya kufanya malipo negotiable hakuna tatzo kulingana na ukubwa wa kazi bila Shaka nitegemee kupata.
Kama upo huku dsm naomba Pm Then tuone kazi tunafanyaje hasa mwenye ujuzi wa program ya WHITE HAT HACKING.. IT mnaelewa vzr bila Shaka nikisema hivo.
Asanteni. Hope this thread finds you all in Time.
Isijekuwa jamaa linataka kuhack acc ya Twitter ya kigogo2014Description ya kazi unatoa juu juu tu. Weka maelezo yote. Kazi ni ya networking? Na kama ni networking mtu anakua anafanya kazi gani?. Maana networking ni pana.
🤣🤣.umenichekesha kweli mkuu.Isijekuwa jamaa linataka kuhack acc ya Twitter ya kigogo2014
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna jamaa angu anajua kuweka window kwenye pc
anajiita IT ngoja nimpe tangazo akuchek
hope atasaidia
Naaam, Mtipidii hazulumiwiNjoo pm eleza shida toa kazi ifanywe Ila sipo dar na sitegemei kuonana na wewe malipo baada ya kazi na sijawahi kuzulumiwa pia