Natafuta professional graphic designer

Natafuta professional graphic designer

Mahorii

Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
99
Reaction score
115
Salaam wana Jamii.

Tafadhali natafuta mtaalamu wa kutengeneza matangazo kwa bei nafuu. Tafadhali kupata hii kazi lazima uwe na kazi zako ambazo zinaonekana pia unatakiwa kuwa na ujuzi wa juu kwenye adobe photoshop na adobe illustrator.

Asanteni.
 
Huyu hapa mtaalamu mbobezi ashawah kunitengenezea kazi mbili tofauti,, 0714058303...Thank me later.
 
Am good in Photoshop, illustrator, after effects, premiere, indesign, max and cinema 4D
 
nipig
Salaam wana Jamii.

Tafadhali natafuta mtaalamu wa kutengeneza matangazo kwa bei nafuu. Tafadhali kupata hii kazi lazima uwe na kazi zako ambazo zinaonekana pia unatakiwa kuwa na ujuzi wa juu kwenye adobe photoshop na adobe illustrator.

Asanten
nipm mkuu
 
Back
Top Bottom