Charles kikoti
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 461
- 121
Wanajamvi bila shaka mpo vizuri, naomba ushauri wenu, natafuta printer ambayo itanisaidia ktk kuprint, kutoa copy, scan documents na kusafisha picha za passports. Iwe inafanya kazi mda mrefu, cartridge zisiwe zakuweka wino kwa sindano maana nilikuwa nayo HP DeskJet ink Advantage 3835 nilikoma. Kuweka wino ni adhabu tosha kabisa. Budget yangu 450,000 nawasilisha.