kama unataka kisheria nitashindwa,ila ninafuga popo wengi tu,sijui unataka jinsia gani?ila wana hasira sana.Heshima mbele wakuu. Natafuta popo hai. Nitawapata wapi? Nataka niwanunue kwa kufuata taratibu za kisheria.. With much thanx in advance.
U have a case to answerkama unataka kisheria nitashindwa,ila ninafuga popo wengi tu,sijui unataka jinsia gani?ila wana hasira sana.
"nyaraka za serikali hizo"POPO??kweli serikali imeishiwaU have a case to answer![]()
"nyaraka za serikali hizo"
Tofauti ya shirki na popo ni ndogo! Sbb it doesn't click into people's mind mtu ufuge popo! Hawaliwi,hawatagi what for?Kwanini popo wana uhusiano na ushirikina ? I had no idea..You tell me
So are u keeping snakes & scorpions? No wonder unaweza kuwa mdogo wake manyaunyau!They insects like snakes,scorpions etc.. Usikariri
Mkuu ile Ngozi ya Simba uliipata??Heshima mbele wakuu. Natafuta popo hai. Nitawapata wapi? Nataka niwanunue kwa kufuata taratibu za kisheria.. With much thanx in advance.
km unaweza kuja kuwakamata mwnyw nichek PMNope ! Ni Aristide Bance wa Burkinafaso..