thanks, sehemu nzuri ni wapi mkuu. hasa ambako sio uswahilini...actually, nahamia arusha soon na sitaki nipange zaidi ya mwaka mmoja, hivyo nafika na kuanza kujenga ndo maana nataka kununua kiwanja soon after arrival. ila jueni mimi ni mwanasheria, najua due diligence ya kueleweka kabla ya kununua kitu hasa ardhi.Mkuuu kwa ushauri wa harakaharaka Njiro sio sehemu salama kununua kiwanja kichwa kichwa utapigwa hiyo hela yako..nenda kwa uangalifu sana..kwa Arusha Njiro ni sehemu inayo migogoro mingi sana ya Ardhi..hivo kua makini..
NB: naongelea surveyed plots za njiro..
Moshono ni pazuri ila kwangu kisongo baada ya uwanja wa ndege ni kuzuri saana... usifike stand maeneo ya uwanja wa ndege right side ni kuzur pametulia...ni sehemu ipi arusha ukijenga ni sehemu ya middle class, at least hakuna uswahili, kila mtu anajua yake? please watu wa arusha nisaidieni.
Moshono kuzuri, wellcomeni sehemu ipi arusha ukijenga ni sehemu ya middle class, at least hakuna uswahili, kila mtu anajua yake? please watu wa arusha nisaidieni.
ukisema nilikuwa wapi, utakuwa unanionea. jf kuna thread nyingi sana, na mtu kama hauna uhitaji wa kiwanja mji huo kwa wakati huo huwezi kuwa bothered na thread yeyote inahusu, na huwezi kutafuta. utaweza kusoma thread zote jf utaweza mkuu? sikuona mimi.wewe plots zimetangazwa mara kibao tu tena 12m tu ulikuwa wapi?!! tena ni hayo hayo maeneo ya moshono na njiro
thanks mkuu kwa ushauri. huko nafikiri itabidi niwatembelee NHF kama sikosei. lakini hata huku mitaa mingine, kwenu ninyi wakazi wa arusha mkinipa ramani au picha walau sehemu zipi ni za kishua kuishi arusha, nitashukuru. thanks, God bless for your signature.Nenda www.thesafaricity.com Matevez ni bonge la mji. Umeme upo maji yapo barabara za ndani zimechongwa na ulinzi upo. Barabara kubwa ya Afrika Mashariki kutoka Ngaramtoni hadi USA inapita ndani ya viwanja.
Viwanja vyote unapewa hati na sqmt 1=35,000. Nenda huko hutajutia pesa yako.
Maeneo ya matejoo kuleeni sehemu ipi arusha ukijenga ni sehemu ya middle class, at least hakuna uswahili, kila mtu anajua yake? please watu wa arusha nisaidieni.
Safari City ndio kutakua USHUANI kuliko kwingine kote hapa Arusha. Mark my words na baada ya miaka michache utaniambia.thanks mkuu kwa ushauri. huko nafikiri itabidi niwatembelee NHF kama sikosei. lakini hata huku mitaa mingine, kwenu ninyi wakazi wa arusha mkinipa ramani au picha walau sehemu zipi ni za kishua kuishi arusha, nitashukuru. thanks, God bless for your signature.
Kwa nusu eka maanake ni 85m kama 1sqmt =35000Nenda www.thesafaricity.com Matevez ni bonge la mji. Umeme upo maji yapo barabara za ndani zimechongwa na ulinzi upo. Barabara kubwa ya Afrika Mashariki kutoka Ngaramtoni hadi USA inapita ndani ya viwanja.
Viwanja vyote unapewa hati na sqmt 1=35,000. Nenda huko hutajutia pesa yako.
wapi eneo sio skwata mkuu ili nitafute huko. please help!Safari City ndio kutakua USHUANI kuliko kwingine kote hapa Arusha. Mark my words na baada ya miaka michache utaniambia.
Ujenzi wake huhamishi udongo kama Kilala au Moshono. Ingawa kipenda roho hula nyama mbichi. Kama bado unapenda Moshono sawa ila ujue hakuna mitaa ni skwata!
nssf kaloleni kwenye hiyo round about kulikuwa na bango daily lilikuwa linapigwa na vumbi likiwa na plots luluki sijui siku hizi limeishia wapi ila zilikuwa na bei fair snukisema nilikuwa wapi, utakuwa unanionea. jf kuna thread nyingi sana, na mtu kama hauna uhitaji wa kiwanja mji huo kwa wakati huo huwezi kuwa bothered na thread yeyote inahusu, na huwezi kutafuta. utaweza kusoma thread zote jf utaweza mkuu? sikuona mimi.
Square Meters 300 haizidi 11 milioni.
Kwa nusu eka maanake ni 85m kama 1sqmt =35000