baraka peter
New Member
- Jul 19, 2014
- 2
- 0
habar wana JF! Kwa yeyote ambaye ana uza ps2 nlikuwa nahtaji au kama unajua kuna mtu anayo na anaiuza plz ntafte kwa no. 0719 821362 napatkana dodoma.
Me ninazo kama 20 nauza pia na game kama umahitaji ni pm nikupe namba tufanye biashara
Me nahitaji joystick au pad za ps 3..mwenye nazo an pm tufanye biashara
Nauza ps 3 Ina pad 3cd FIFA 13 pamoja na max Payne kwa tsh 450000karibunii
Me nauza Ps3 peke yake ina padi moja na iko sinza kwa 350,000
mkuu chukua 200000 fair price me pad ingine ntatafuta mwenyewe
regard
Poa, mkuu piga 0719-808849
kula 100 kwa ps2
Kama PS2 ndogo kwa 100,000 poa njoo uchukue lkn PS2 kubwa bei ya mwisho 130,000
ps2 ndogo una maanisha nini? afu kwa hyo bei napata na padi ngapi?
+255 713 729 051 - Mahona
Kama upo Dar mpigie huyo dogo aliwahi kuniuzia PS 3 kipindi fulani.
Huyo dogo ni dalali au?