Nina ps3,320gb used ina pad 1 hdmi kabel,nakupa na cd za fifa 2013,2012, 2011 kwa laki 5.
Ni PM unipe number yako tupange vizuriIpo me ninayo ps3 na pad zote 2 nakupa na cd 3 gb 500..laki 5 cash
Bado sijapata Playstation PS3. Kama unayo, naomba uni PM.