Natafuta plain t-shirt mbali mbali za kuprint

juniour12

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
407
Reaction score
378
Habari zenu wakuu natafuta t-shirt za aina tofaut tofuti za round collar na form 6...zikiwa katika quality tofauti tofauti na ziwe plain kwa ajili ya kuprint kwenye mavyuo na maofisi...Nahitaji kwa bei ya jumla.
 
Piga 0714521052
 
habari?kiongozi ulifanikiwa, naomba na mimi abc za hii biashara, na pia kama naweza kupata sehemu nikafanya designing
mwenyewe
 
Kama upo Dar mcheki huyu jamaa anaitwa Stick yupo Tegeta 0717067071
 
ingia instagram... nicheki tshirt garage mabibo hostel.. utaona kila aina
 
Back
Top Bottom