natafuta pikipiki

natafuta pikipiki

kamanyora

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
209
Reaction score
134
natafuta pikipiki ya mchina,aina ya sanlg au fekon au tbetter,
ambayo imetumika kwa Mda mfupi iwe ktk hali nzuri
 
kaka weka kiasi chakuanzia kama laki 2 au milioni lakin unandika natafuta pkpk t better fekon sanlg umemeliza itakua ngumu sana kupata
 
kaka weka kiasi chakuanzia kama laki 2 au milioni lakin unandika natafuta pkpk t better fekon sanlg umemeliza itakua ngumu sana kupata
bajet yangu ni 750000
 
ipo feikon kibaha kwa mathias ina hali nzuri kwa bei 800000 kwa mawasiliano pigg simu 0754286329
 
Back
Top Bottom