P poteleambali Member Joined Jul 23, 2015 Posts 81 Reaction score 104 Apr 12, 2018 #1 Habari wana jukwaa Natafuta pikipiki aina ya boxer 150 itapendeza kama itakuwa ndani ya mkoa wa Tabora ili kusiwe na vijigharama vya ziada mf. usafirishaji Ahsanteni
Habari wana jukwaa Natafuta pikipiki aina ya boxer 150 itapendeza kama itakuwa ndani ya mkoa wa Tabora ili kusiwe na vijigharama vya ziada mf. usafirishaji Ahsanteni
Mlevihalisi Member Joined Dec 9, 2017 Posts 19 Reaction score 3 Apr 18, 2018 #2 Nnayo lakin ipo dsm,nadhan had hao imekosa soko kwako