Natafuta pikipiki na spear zake.

spleen

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
3,224
4,662
Kama Kuna sehemu wanauza mpya hapa bongo ni honda CT 110 na Spear zake zote kama carburator,battery,air filter na zingine......
 

Attachments

  • 1450106811252.jpg
    1450106811252.jpg
    50.8 KB · Views: 52
  • 1450106823132.jpg
    1450106823132.jpg
    134.4 KB · Views: 77
mpya zipo za kichina tu ya Kijapan mpya huwezi kupata hapa Tanzania, labda Dubai au Thailand.
 
Back
Top Bottom