P PROF MUDI DULA Member Joined Oct 29, 2012 Posts 86 Reaction score 4 Nov 7, 2014 #1 Natafuta pikipiki KIBAO CHA MBUZI ya aina yoyote. FEKON, SANLG n.k. Bajeti yangu ni shilingi laki tatu (300,000/=), bila kuzidi hata kidogo. Piga chap-chap tufanye biashara chap-chap 0653422776. Nipo DSM, TMK.
Natafuta pikipiki KIBAO CHA MBUZI ya aina yoyote. FEKON, SANLG n.k. Bajeti yangu ni shilingi laki tatu (300,000/=), bila kuzidi hata kidogo. Piga chap-chap tufanye biashara chap-chap 0653422776. Nipo DSM, TMK.
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,048 Reaction score 10,502 Nov 7, 2014 #2 Kuna watu wanapenda kweli kupoteza muda wao kwa fundi bila kujali nguvu kazi zao. We pesa hiyo si sawa na kununua Baiskeli ya Sport
Kuna watu wanapenda kweli kupoteza muda wao kwa fundi bila kujali nguvu kazi zao. We pesa hiyo si sawa na kununua Baiskeli ya Sport