jaxonwaziri
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 375
- 195
Natafuta pick-up, single cabin or double (Iwe Toyota), kwa kusambaza mizigo ya dukani. Kama unayo ama unamfahamu mwenye nayo, tuma picha hapa ama kwa whatsap no: 0785 310 998
Daihatsu hutaki mkuu kuna jamaa anayo iko idle?
Kabebee nguruwe
Mkuu, unataka kukodisha ama kununua? Kuwa wazi.
Khaa! Mbona unamjibia mtoa mada?
Mzee hiyo pickup bado unayo na being take jeeDaihatsu hutaki mkuu kuna jamaa anayo iko idle?