Habari zenu wakuu, natafuta pembe za n'gombe rangi nyeupe mkoa yoyote na kiasi chochote hata kama zaidi ya tani moja! Ntanunua kwa bei nzuri popote inapopatikana
Asanteni
Ukubwa yoyote ile...mm nipo Dodoma ila naziuza Dar ndo soko lake ilipo so popote nitapokipata haina shida na kwa bei mkuu ni maelewano usjli! Kma uko serious na unazo ni pm namba yako
Shukrani mkuu, niliwaza vifungo na vyakula vya mifugo ila nkaona umeweka sharti la rangi hapo nkaona niulizie vizuri, sasa hizo nyingine vipi (za rangi tofauti) au hazina ubora?