kwanza angalia matumizi yako. una matumizi ya aina gani? kawaida tu kusomea na kuchapa, kuangalia movie tu ndani? kuchezea games, kufanya graphic designs n.k
maana usie nunua lori harafu unabebea kilo tatu za mchele , hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali.
pia angalia bajeti yako, umeandaaa shilingi ngapi n.k