NATAFUTA PATNA WA BUSINESS

NATAFUTA PATNA WA BUSINESS

Eizyek

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2019
Posts
800
Reaction score
2,776
Abar wakuu natafta business partner ambae tutashilikiana kweny biashara na kugawana pacent
 
Abar wakuu natafta business partner ambae tutashilikiana kweny biashara na kugawana pacent
Abar = Habari
Ambae = Ambaye
natafta = natafuta
Tutashilikiana = tutashirikiana
Kweny = kwenye
Pacent = percent

Kati ya maneno 12 uliyoandika, umekosea maneno 6.

Percentage error = (6/12) X 100%
%Error = 50%
 
Abar = Habari
Ambae = Ambaye
Tutashilikiana = tutashirikiana
Kweny = kwenye
Pacent = percent

Kati ya maneno 12 uliyoandika, umekosea maneno 5.

Percentage error = (5/12) X 100%
%Error = 41.67%
Hahaha hesabu
 
Abar = Habari
Ambae = Ambaye
Tutashilikiana = tutashirikiana
Kweny = kwenye
Pacent = percent

Kati ya maneno 12 uliyoandika, umekosea maneno 5.

Percentage error = (5/12) X 100%
%Error = 41.67%
Hahahah duh
 
Abar = Habari
Ambae = Ambaye
Tutashilikiana = tutashirikiana
Kweny = kwenye
Pacent = percent

Kati ya maneno 12 uliyoandika, umekosea maneno 5.

Percentage error = (5/12) X 100%
%Error = 41.67%
"natafta" hujaiona mkuu?
 
Abar = Habari
Ambae = Ambaye
natafta = natafuta
Tutashilikiana = tutashirikiana
Kweny = kwenye
Pacent = percent

Kati ya maneno 12 uliyoandika, umekosea maneno 6.

Percentage error = (6/12) X 100%
%Error = 50%
daaah
 
Biahara ya kununua na kuuza mtaji inatakiwa kianzio m10
 
kuna mtu anaenda kutapeliwa .

ukoo wako wote kule kijijini kwenu tandahimba wana kazi ?? umekosa hata mmoja wa kusaidiana nae

subiri mapopoma yaje kichwakichwa maana hawakosekanagi
 
Abar = Habari
Ambae = Ambaye
natafta = natafuta
Tutashilikiana = tutashirikiana
Kweny = kwenye
Pacent = percent

Kati ya maneno 12 uliyoandika, umekosea maneno 6.

Percentage error = (6/12) X 100%
%Error = 50%
Funguka biashara gani mkuu...? Kama inatija tushirikiane
Mkitapeliwa mnaanza kulalamika au na wewe ni walewale..
 
Back
Top Bottom