Weka offer yako na Uko wapi mkuu?wakuu, habarin za asubuhi
Natafuta Passo namba C, iwe kwenye hali nzuri, imelipiwa vibali vyote
nicheki 0652567568 WhatsApp
Mil 5Weka offer yako na Uko wapi mkuu?
Gari zipo
Ova
Mil 5 haupo seriousMil 5
Huna gari unatulia, endelea kuwa serious hvyo hvyoMil 5 haupo serious
done with it.... Hakuna kitu ambacho hakipatikan kiongozi.. n wewe tu, kama wanakuuziaga mil 10 n ww.. pole sanaHuoni aibu
unataka ninunue Used ya bongo kwa bei ya used ya gari zilizotoka nje.. ambazo hazijatuka bado... au kwa lugha nyingne zilizo showroom.. kweli?Iliibiwa au?
nilishapata kiongozi... ila uwe unatembea tembea humu, au nitext WhatsApp... mda wowote napata mtejamimi ni namba CEE uko tayari nikupatie mzigo? uko wapi? mi niko singida