Natafuta partner wa kushirikiana naye

Natafuta partner wa kushirikiana naye

I can smell something fishy. Nyie wenye id fake mnaponda serikali, beware..! Thank me later
 
hiyo project yako peleka ofisi ya waziri mkuu, kazi, vijana, ajira na watu wenye ulemavu.
 
Mfanya biashara mzoefu na mwenye pesa zake lugha na maelezo yake utayatambua tu. Lakini hapa nimejikuta natilia shaka huu mkakati.
 
it's nothing like forever living i can assure you
project inahusiana na healthy and finance

qualification of a partner
1. 1-3 hours daily to work with us either online (out of the office ) or at our office
2. Ready to be coached either online or via training
3. Passionate and devoted to work either full time or part time

Maelezo yako na majibu unayotoa ni nusu nusu...
Mashaka nawe ni mengi sana... Eleza kitu mtu akisoma akauja PM mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom