Natafuta partner wa kushirikiana naye

Natafuta partner wa kushirikiana naye

ennybasil

Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
15
Reaction score
5
I am dealing with a new project world wide but currently expanding in Tanzania.I'm looking for serious partners that will work with me to make 200-500 USD in a week. The project needs a person who has
1. 1-3 hours daily to work with us either online ( out of the office) or at the office
2. Ready to be coached either online or via training
3. Passionate and devoted to work either full time or part time
contact me for more details on how to join us. Tag another person who might be interested..let's make money together
Contact +255659701313
+255692423572
email....enockmfikwa1994@gmail.com
 
Elezea kidogo ishu inahusu nini na huyo partner anaehitajika taja sifa zake mkuu.
 
Hapa itakuwa anatafuta watu wa kuwaunga ktk group ili kujenga chain ya kumzalishia pesa, the more you enroll more members the more you get paid!
 
Mbona taarifa yako imekaaa kaaa tuu hata haina maelezo
Au huu ndio ule unaoitwa wizi
 
Elezea kidogo ishu inahusu nini na huyo partner anaehitajika taja sifa zake mkuu.

project inahusiana na healthy and finance

qualification of a partner
1. 1-3 hours daily to work with us either online (out of the office ) or at our office
2. Ready to be coached either online or via training
3. Passionate and devoted to work either full time or part time
 
Mkuu, kabla ya kutaka partner, chambua vya kutosha kuhusu mradi husika na namna ya kuifanya kazi husika. Pia, namna malipo yatakavyofanyika.Ukimaliza hapo, utapata wataka nafasi kadiri ya utakavyo. Fanya hivyo.
 
Lilishakuja tangazo la hivi tena hapa, na huwa hakuna details zozote juu ya hiyo project....
Kama sio utapeleli sijui tu

can you contact me through my email or phone number...ili kupata taarifa zaidi juu ya hii project nakuahidi hutojutia
 
Mkuu, kabla ya kutaka partner, chambua vya kutosha kuhusu mradi husika na namna ya kuifanya kazi husika. Pia, namna malipo yatakavyofanyika.Ukimaliza hapo, utapata wataka nafasi kadiri ya utakavyo. Fanya hivyo.

Ahsante Petro kwa ushauri...hivyo vitu vyote vilishafikirika kwa kina sana...na ndio maana nikaweka namba ya simu ili tuweze kuwasiliana
 
Dah!! hiyo lugha ya malikia ngoja nimpelekee jirani yangu kwanza harafu nitarudi mkuu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom