Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Mkuu, fanya hivyo hapa hapa JF kwa kurahisisha mambo na kutoa faida kwa wengi katika wakati mmoja.Ahsante Petro kwa ushauri...hivyo vitu vyote vilishafikirika kwa kina sana...na ndio maana nikaweka namba ya simu ili tuweze kuwasiliana