Salaam wakuu.
Kama kuna web developer mwenye experience na blockchain technology naomba tuwasiliane. Nina project naianza kwenye Ethereum blockchain nahitaji partne atakayetengeneza website. We will agree on the share. Kama wewe ni web developer na una experience na blockchain na mambo ya cryptocurrency tafadhali tuwasiliane kwa 0786817145 au 0768734611. Nawasilisha wakuu.