Natafuta partner wa biashara ya dawa za Tiba Mbadala au za Pharmacy

Natafuta partner wa biashara ya dawa za Tiba Mbadala au za Pharmacy

hungary

Member
Joined
Jan 20, 2025
Posts
61
Reaction score
89
Habari zenu

Natafuta mshirika wa kufanya kazi pamoja katika kutoa huduma za elimu, ushauri, na huduma za afya kwa watu binafsi na biashara.

Nina polyclinic ya mtandaoni ambayo kwa sasa ina wateja 64, na lengo ni kupanua huduma kwa kutoa ufikiaji wa maabara na dawa kwa wateja wetu.

Tunatafuta mshirika atakayesaidia kuunganisha maabara na maduka ya dawa, ili wateja wetu wapate huduma kamili, haraka na salama, huku tukiboresha elimu na ushauri wa afya kwa jamii.
 
Back
Top Bottom