Kwema wakuu,
Kutokana na changamoto za maisha, natafuta part time job kuanzia mwezi ujao mwishoni katika jiji LA Dar.
Ni professional Eng. Nina uwezo wa kufanya kazi katika kiwanda chochote cha processing na katika maabara yeyote ya processing.
Kwa maongezi zaidi, nipm
Nawasilisha