Natafuta Pango la grocery au pub

Natafuta Pango la grocery au pub

sabuni jr.

Member
Joined
Oct 14, 2014
Posts
19
Reaction score
4
Habar waheshimiwa! Naombeni msaada kwa anaefahamu ilipo frame nzur kwa ajili pub, grocery au bar ndogondogo anifahamishe(ani PM) kwa maana nishatafuta sn aiseee! Zaidi ni kwa maeneo ya nyerere road mwisho gongo LA mboto!.tafadhar yenye ghalama ya kawaida tu!...
 
Makuburi ipo kwa 50000
 
Thanx mkuu! ila ningepata mitaa ya nyerere road (Airport,banana,Mombasa,gomz au majumba 6) ingekuwa poa sn!
 
Back
Top Bottom