Natafuta pamp ya solar

Natafuta pamp ya solar

Stephen64

Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
21
Reaction score
7
Naomba msaada kwa anaejua zinakopatikana pamp za solar kwaajili ya kuvuta maji kisimani ama hata kwenye mto tafadhali sana

Mkulima mdogo
 
Hakuna pampu ya solar. Pampu yoyote inaweza kutumia umeme wa solar au umeme wa grid. Unachotakiwa kufanya ni kujua unahitaji pampu ya uwezo gani kisha wataalam wa umeme wa solar watakushauri solar system inayofaa.
 
Watafute david and shertlif wanazo, wapo victoria.
 
Nitafute kwa mahitaji yako ya pump za maji zinazotumia umeme wa Jua na za grid ... unachotakiwa kuniambia unahitaji lita ngapi kwa siku na head( umbali au urefu wa Kisima Chako mpaka Tank au unapohitahi kumwagilia) na mahali ulipo . Nami nitakupa bei za pump na Sola yake complete
 
mi umbali ni kama mita mia mbili nipe mchanganuo wa kila mashine na bei yake
 
Je mita mia mbili kwenda chini ... Naomba mtofautishe kitu tunahita hotizontal distance na vertical distance .... hapa tunazungumzia vertical distance
 
mita mia mbili kutoka chanzo cha maji ni kamto fulani na kuna kamwinuko kidogo
 
mi ningeomba uniwekee mchanganuo yaani kila mashine kwa umbali huo itagharimu kiasi gani nichague
 
Habari zenu wadau wapi naweza pata Solar Unit ambayo
1. Inaweza run pump ya kisima (iliyozamIshwa )
2. Bulb zisizozidi 6
Nataka kujua ni watts ngapi zitatosheleza ?
Na solar panel za ukubwa gani zitatosha ?
Jee itagharimu kiasi gani ?
HP 2. Kisima urefu 70m
 
Hello Adilinanduguze.. send me your email through PM and I will send you the quote!


Habari zenu wadau wapi naweza pata Solar Unit ambayo
1. Inaweza run pump ya kisima (iliyozamIshwa )
2. Bulb zisizozidi 6
Nataka kujua ni watts ngapi zitatosheleza ?
Na solar panel za ukubwa gani zitatosha ?
Jee itagharimu kiasi gani ?
HP 2. Kisima urefu 70m
 
Back
Top Bottom