Natafuta operator wa crane

Daaaah nimechka sana foko!! Yaan hata mwnye kampuni mwenyewe anaweza weka mkewe afanye hako ka kzi foko na rolla wamama ndo kazi yao
Huo ndio ukweli mkuu, shida ukisema ukweli hawachelewi kumwaga povu...
Roller, Folklift na Dozer ni machine za akina mama
 
hyo ndo aina yenyewe ya crane
0718262406 mpigie huyo alikuwa anafanya kazi na zile za wachina wa Mwenge na alikuwa anafanya na za bandalini pia mpigie muelewane wenyewe yupo Dar ila nilimsikia ana mpango wa kuja Arabuni sijui km hiyo safari ipo mtafute
 
Weka mshahara hapa nimtume kijana aje kufanya yake chap chap
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…