weka mawasiliano yakoKama kuna operator wa crane naomba anitafute,,, eneo la kaz ni makambako
Hyo crane ni aina gani movable au stationary. Overhead crane ,Tower crane .mobile crane. Tani ngapiKama kuna operator wa crane naomba anitafute,,, eneo la kaz ni makambako
ni ya miez mi 4Ni ajira ya moja kwa moja au
Hyo crane ni aina gani movable au stationary. Overhead crane ,Tower crane .mobile crane. Tani ngapi
Nipo hapa mkuu....Kama kuna operator wa crane naomba anitafute,,, eneo la kaz ni makambako
Hyo nadhani ni tani 50 au 35. Ila hyo lowbed uliyobeba siyo saizi yake. Ila wapo wataalam wake nilikua nao job ngoja niwajulishe. Namba zako ni Muhimuhyo ndo crane yenywe,,![]()
Tulia ntakushtua coz kwa badae ata foko ztakuepoOperator wa foko nipo hapa mkuu vp kuna kazi?
Uko pande zp wwNipo hapa mkuu....
Hiyo kitu naijua in out, mpaka rope and rigging bila kusahau lifting guide
PoaHyo nadhani ni tani 50 au 35. Ila hyo lowbed uliyobeba siyo saizi yake. Ila wapo wataalam wake nilikua nao job ngoja niwajulishe. Namba zako ni Muhimu
Leo nipo singida mkuu.Uko pande zp ww
Mkuu....Operator wa foko nipo hapa mkuu vp kuna kazi?
Daaaah nimechka sana foko!! Yaan hata mwnye kampuni mwenyewe anaweza weka mkewe afanye hako ka kzi foko na rolla wamama ndo kazi yaoMkuu....
Hizi skuizi wanafanya akina mama