spray
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 277
- 241
Natafuta Ofisi ya kupanga iwe sam nujoma road, ali hassan mwinyi mwisho morocco, cocacola kwanza road nk, ukubwa ni 20-30 sqmts, inaweza kuwa hata room moja kubwa au yenye partition au nyumba nzima inayoweza kuwa ofisi ni sawa..sio frem..
Budget: 200,000-400,000 Kwa mwezi, itategemea na sehemu.
Kama unajua pls nipm
Budget: 200,000-400,000 Kwa mwezi, itategemea na sehemu.
Kama unajua pls nipm