mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,086
Habari wana jf! Yoyote mwenye kujua contact za office zinazojishughulisha na laser cutting na laser engraving naomba aweke kwenye comment au ni private message.
Ni connect naye mkuu!Yupo mtu ana mashine nyumbani kwake
Mkuu ndo nini hicho naomba tudadavulie hizo kwa faida yangu na wenzangu tupate japo uelewa kidogo