Duh,kazi ip😵ffice 365 siyo kama ofice 2003/2007/2010 hii ni package na haiuzwi madukani,inatumiwa na makampuni ni huduma ya online.Ila kwa upande wa e-mail unaweza set ukawa unazipata kwenye outlook yako baada ya kufanya "configuration".
Office 365 ni latest technology na si cheap kama unavyoweza kufikiria ina huduma zingine kama sharepoint,Microsoft Lync,kuchati.Kwa hiyo kama ulimsikia mtu anakwambia wanatumia office 365 siyo package kama ya MS office 2003/2007/2010/1013 etc inahusika na e-mail na online storage ,sharing of files na making call just like skype.Ina feature nyingi kidogo.