Natafuta Nyumba

Natafuta Nyumba

Nicho North11

Member
Joined
Mar 28, 2019
Posts
29
Reaction score
46
Habari zenu wadau!

Natafuta Nyumba Yenye Masterbedroom, Sitting room, kitchen iwe ndani ya Fensi maeneo ya Kuanzia Tegeta kwa ndevu hadi Mbezi African lakini iwe karibu na Barabara ya New Bagamoyo.

Mwenye nayo anicheki PM hatakosa hata ya Maji.

Uzi tayari.
 
Ya Bei gani uwezo wako,na iwe na room ngapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom